Ezekieli 40:44 BHN

44 Nje ya njia ya ndani kulikuwako vyumba vya walinzi kwenye ua wa ndani uliokuwa upande wa kaskazini wa njia. Vyumba hivyo vilielekea upande wa kusini. Chumba kimoja kilichokuwa upande wa lango la mashariki kilielekea upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:44 katika mazingira