Ezekieli 40:45 BHN

45 Yule mtu akaniambia, “Chumba hiki kinachoelekea kusini ni kwa ajili ya makuhani wanaohudumu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu,

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:45 katika mazingira