Ezekieli 40:46 BHN

46 na chumba kinachoelekea kaskazini ni kwa ajili ya makuhani wanaohudumu madhabahuni. Makuhani hawa ni wale wa ukoo wa Sadoki, ndio hao kati ya watu wa kabila la Lawi wanaoruhusiwa kwenda mbele ya Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:46 katika mazingira