47 Yule mtu akaupima ua wa ndani, nao ulikuwa mraba: Pande zote zilikuwa na upana wa mita 50. Madhabahu yalikuwa mbele ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 40
Mtazamo Ezekieli 40:47 katika mazingira