Ezekieli 43:3 BHN

3 Maono hayo yalikuwa kama maono niliyoyaona Mungu alipokuja kuuangamiza mji wa Yerusalemu. Pia yalifanana na maono niliyoyaona karibu na mto Kebari. Nikaanguka kifudifudi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 43

Mtazamo Ezekieli 43:3 katika mazingira