Ezekieli 44:12 BHN

12 Lakini kwa sababu waliongoza ibada za miungu kwa ajili ya watu wa Israeli, wakawafanya watu kutenda dhambi, basi, nimeunyosha mkono wangu kuwaadhibu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Nao watabeba adhabu yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:12 katika mazingira