13 Hawatanikaribia tena kunihudumia kama makuhani, wala hawatavigusa tena vitu vitakatifu wala vile vitakatifu kabisa. Bali wataaibika kwa sababu ya machukizo yao waliyotenda.
Kusoma sura kamili Ezekieli 44
Mtazamo Ezekieli 44:13 katika mazingira