Ezekieli 44:22 BHN

22 Kuhani yeyote asioe mwanamke mjane wala mwanamke aliyepewa talaka. Lakini atamwoa bikira ambaye ni mzawa wa Waisraeli au mwanamke aliyefiwa na mumewe aliyekuwa kuhani.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:22 katika mazingira