Ezekieli 44:23 BHN

23 Makuhani watafundisha taifa langu kupambanua vitu vilivyo vitakatifu na visivyo vitakatifu, na kuwajulisha tofauti baina ya vitu vilivyo najisi na visivyo najisi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:23 katika mazingira