Ezekieli 44:24 BHN

24 Kukiwako ugomvi wataamua kadiri ya sheria zangu. Katika sikukuu zote watafuata amri zangu na sheria zangu, na kuzitakasa sabato zangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:24 katika mazingira