Ezekieli 44:27 BHN

27 Siku atakapoingia katika patakatifu, katika ua wa ndani ili kuhudumu, atatoa sadaka yake ya kuondoa dhambi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:27 katika mazingira