Ezekieli 44:28 BHN

28 “Makuhani hawatakuwa na haki ya kumiliki ardhi; haki yao ni kunitumikia mimi. Hamtawapa milki katika nchi ya Israeli, watakachokuwa nacho ni mimi tu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:28 katika mazingira