Ezekieli 44:7 BHN

7 Mmeitia unajisi maskani yangu kwa kuruhusu waingie humo watu wasiotahiriwa, watu wasionitii mimi, wakati mafuta na damu vinatambikwa kwa ajili yangu. Hivyo, nyinyi watu wangu mmelivunja agano langu kwa machukizo yenu yote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:7 katika mazingira