8 Badala ya kutekeleza huduma ya vitu vyangu vitakatifu, mmeruhusu watu wa mataifa mengine kutekeleza huduma hiyo katika maskani yangu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 44
Mtazamo Ezekieli 44:8 katika mazingira