Ezekieli 44:9 BHN

9 Sasa, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Hakuna mtu yeyote wa taifa geni, asiyetahiriwa au asiyenitii mimi, atakayeruhusiwa kuingia maskani yangu; hata wageni wanaoishi miongoni mwa Waisraeli, hawataruhusiwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:9 katika mazingira