Ezekieli 45:1 BHN

1 “Mtakapoigawanya nchi kwa kura ili kila kabila lipate sehemu yake, sehemu moja ya nchi ni lazima iwekwe wakfu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu. Urefu wake utakuwa kilomita kumi na mbili u nusu na upana wa kilomita kumi. Eneo hilo lote litakuwa takatifu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:1 katika mazingira