Ezekieli 45:2 BHN

2 Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:2 katika mazingira