Ezekieli 45:22 BHN

22 Siku hiyo, mtawala atatoa fahali mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya watu wote wa Israeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:22 katika mazingira