Ezekieli 45:21 BHN

21 “Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mtaadhimisha sikukuu ya Pasaka. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:21 katika mazingira