Ezekieli 45:20 BHN

20 Atafanya vivyo hivyo siku ya saba ya mwezi huo, kwa ajili ya kila mtu aliyetenda dhambi bila kukusudia au kwa kutojua. Kwa njia hiyo mtaitakasa nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:20 katika mazingira