Ezekieli 45:19 BHN

19 Kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya kuondoa dhambi na kuipaka miimo ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kona za madhabahu, na miimo ya nafasi ya kuingilia kwenye ua wa ndani.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:19 katika mazingira