Ezekieli 45:8 BHN

8 Hiyo ndiyo milki ya mtawala katika Israeli. Hivyo mtawala hatawadhulumu watu wangu, bali ataacha nchi igawiwe Waisraeli kulingana na makabila ya Israeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:8 katika mazingira