Ezekieli 48:14 BHN

14 Hakuna sehemu yoyote ya eneo hilo itakayouzwa au kutolewa kwa mtu yeyote, kwa sababu eneo hilo ni takatifu kwa Mwenyezi-Mungu; nalo ni bora kuliko yote nchini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:14 katika mazingira