Ezekieli 48:15 BHN

15 Ile sehemu ya eneo maalumu iliyobaki, yenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu na upana kilomita 2.5, hilo ni kwa matumizi ya kawaida ya mji: Mahali pa kuishi na eneo la mashamba. Katikati yake kutakuwa na mji,

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:15 katika mazingira