Ezekieli 48:25 BHN

25 Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:25 katika mazingira