Ezekieli 48:26 BHN

26 Eneo linalopakana na kabila la Isakari kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi, litakuwa eneo la kabila la Zebuluni.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:26 katika mazingira