Ezekieli 5:11 BHN

11 Kwa sababu hiyo, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, kwa vile mmeitia unajisi maskani yangu kwa machukizo yenu, mimi nitawakatilia mbali bila huruma na bila kumwacha mtu yeyote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 5

Mtazamo Ezekieli 5:11 katika mazingira