Ezekieli 5:12 BHN

12 Theluthi moja ya watu wako, ee Yerusalemu, itakufa kwa maradhi mabaya na kwa njaa; theluthi nyingine itakufa vitani na theluthi inayobaki nitaitawanya pande zote za dunia na kuwafuatilia kwa upanga.

Kusoma sura kamili Ezekieli 5

Mtazamo Ezekieli 5:12 katika mazingira