Ezekieli 8:2 BHN

2 Nilipotazama, nikaona maono: Kitu kilichofanana na binadamu. Sehemu yake ya chini, iliyoonekana kama ndio kiuno chake, ilikuwa kama moto. Toka kiuno chake kwenda juu alikuwa na mngao kama wa shaba ingaayo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 8

Mtazamo Ezekieli 8:2 katika mazingira