Ezekieli 9:5 BHN

5 Kisha akawaambia wale wengine mimi nikiwa nasikia, “Piteni mjini mkimfuata, mkaue watu; msimwachie yeyote wala msiwe na huruma.

Kusoma sura kamili Ezekieli 9

Mtazamo Ezekieli 9:5 katika mazingira