Hesabu 10:13 BHN

13 Kwa mara ya kwanza Waisraeli walifunga safari hiyo kwa amri ya Mwenyezi-Mungu kama ilivyotolewa na Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:13 katika mazingira