Hesabu 10:14 BHN

14 Wale waliokuwa chini ya bendera ya kikosi cha kabila la Yuda, walitangulia, kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:14 katika mazingira