Hesabu 11:23 BHN

23 Mwenyezi-Mungu akamjibu Mose, “Je, uwezo wangu umepungua? Utaona basi kama neno langu litakuwa la kweli kwako au la.”

Kusoma sura kamili Hesabu 11

Mtazamo Hesabu 11:23 katika mazingira