24 Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema.
Kusoma sura kamili Hesabu 11
Mtazamo Hesabu 11:24 katika mazingira