33 Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana.
Kusoma sura kamili Hesabu 11
Mtazamo Hesabu 11:33 katika mazingira