Hesabu 11:32 BHN

32 Basi, siku hiyo yote, kutwa kucha, na siku iliyofuata watu walishughulika kukusanya kware; hakuna mtu aliyekusanya chini ya kilo 1,000. Wakawaanika kila mahali kandokando ya kambi ili wawakaushe.

Kusoma sura kamili Hesabu 11

Mtazamo Hesabu 11:32 katika mazingira