11 Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Na, mpaka lini wataendelea kutoniamini, hata pamoja na miujiza yote niliyotenda kati yao?
Kusoma sura kamili Hesabu 14
Mtazamo Hesabu 14:11 katika mazingira