Hesabu 14:10 BHN

10 Lakini jumuiya yote ikatishia kuwapiga mawe. Ghafla, utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatokea juu ya hema la mkutano, mbele ya Waisraeli wote.

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:10 katika mazingira