Hesabu 14:9 BHN

9 Mradi tu msimwasi Mwenyezi-Mungu, wala msiwaogope wenyeji wa nchi hiyo. Maana wao ni mboga tu kwetu; kinga yao imekwisha ondolewa kwao, naye Mwenyezi-Mungu yu pamoja nasi; msiwaogope!”

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:9 katika mazingira