Hesabu 14:34 BHN

34 Kutokana na makosa yenu, mtataabika kwa muda wa miaka arubaini, sawa na zile siku arubaini mlizopeleleza ile nchi, mwaka mmoja kwa kila siku moja; mtatambua kwamba mimi nimechukizwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:34 katika mazingira