Hesabu 14:35 BHN

35 Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema: Hakika nitawatenda hivyo nyinyi nyote mliokusanyika hapa kunipinga. Wote wataishia humuhumu jangwani na ni humu watakamofia.”

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:35 katika mazingira