42 Msiende huko milimani msije mkapigwa bure na adui zenu, maana, Mwenyezi-Mungu hayuko pamoja nanyi.
Kusoma sura kamili Hesabu 14
Mtazamo Hesabu 14:42 katika mazingira