Hesabu 14:43 BHN

43 Mkiwakabili Waamaleki na Wakanaani, mtafia vitani; kwa kuwa mmeacha kumfuata Mwenyezi-Mungu, yeye hatakuwa pamoja nanyi.”

Kusoma sura kamili Hesabu 14

Mtazamo Hesabu 14:43 katika mazingira