22 Lakini Mose na Aroni wakajitupa chini kifudifudi na kusema, “Ee Mwenyezi-Mungu uliye asili ya uhai wa binadamu wote. Je, mtu mmoja akikukosea, utaikasirikia jumuiya nzima?”
Kusoma sura kamili Hesabu 16
Mtazamo Hesabu 16:22 katika mazingira