Hesabu 16:28 BHN

28 Hapo Mose akawaambia watu, “Hivi ndivyo mtakavyotambua kuwa Mwenyezi-Mungu ndiye aliyenituma kufanya mambo haya yote, wala siyo kwa matakwa yangu mwenyewe.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:28 katika mazingira