Hesabu 16:29 BHN

29 Watu hawa wakifa kifo cha kawaida, au wakipatwa na maafa kama watu wengine, basi jueni kuwa Mwenyezi-Mungu hakunituma.

Kusoma sura kamili Hesabu 16

Mtazamo Hesabu 16:29 katika mazingira