Hesabu 18:19 BHN

19 “Ninakupa wewe, wanao na binti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli hunitolea; hivyo ni haki yenu daima. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazawa wako.”

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:19 katika mazingira