Hesabu 18:20 BHN

20 Mwenyezi-Mungu akamwambia Aroni, “Wewe hutakuwa na urithi wowote katika nchi yao, wala kuwa na fungu lako miongoni mwao; mimi ndimi fungu lako na urithi wako kati ya Waisraeli.”

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:20 katika mazingira