Hesabu 18:21 BHN

21 “Kuhusu Walawi, hao nimewapa zaka zote ambazo Waisraeli hunitolea kuwa urithi wao. Haya yatakuwa malipo yao kwa huduma wanayotoa katika kulitunza hema langu la mkutano.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:21 katika mazingira