24 Jumla ya watu watakaokuwa katika kambi ya Efraimu kulingana na makundi yao ni watu 108,100. Kundi hili la Efraimu litakuwa katika msafara wa tatu.
Kusoma sura kamili Hesabu 2
Mtazamo Hesabu 2:24 katika mazingira